Habari za Punde

WAZIRI LUKUVI APOKEA MSAADA WA COMPYUTA 10 KUTOKA BENKI YA AZANIA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akipokea msaada wa Kompyuta 10 zenye thamani ya shilingi milioni 12 kutoka kwa Meneja wa Benki ya Azania mkoa wa Dodoma Makalla Mbura  leo tarehe 10 Julai 2010. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo.
Meneja wa Benki ya Azania mkoa wa Dodoma Makalla Mbura akizungumza baada ya kutoa msaada wa Kompyuta 10 zenye thamani ya shilingi milioni 12 kwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi leo tarehe 10 Julai 2020. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza baada ya kupokea msaada wa Kompyuta kumi zenye thamani ya milioni 12 kutoka kwa Meneja wa Benki ya Azania mkoa wa Dodoma Makalla Mbura (Kulia) leo tarehe 10 Julai 2010. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo.
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakifuatilia makabidhiano ya msaada wa Kompyuta kumi zenye thamani ya shilingi milioni 12 kutoka Benki ya Azania leo tarehe 10 Julai 2020 jijini Dodoma.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi pamoja na Katibu Mkuu wake Mary Makondo wakisoma kijarida kinachoelezea masuala ya usajili wa hati alipotembelea ofisi ya Msajili wa Hati leo tarehe 10 Julai 2020 jijini Dodoma. 
(PICHA ZOTE NA MUNIR SHEMWETA WIZARA YA ARDHI)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.