Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA MENEJMENTI YA OFISI YAKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika  leo Agosti  07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.