Habari za Punde

CRDB Yatowa Mafunzo Kwa Wakala Wao Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe Haji Omar Kheri akimkabidhi cheti mmoja wa Mawakala wa CRDB Zanzibar  wakati wa hafla ya mafunzo yaliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala zac Mikoa na Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri akihutubia katikia ufunguzi wa mkutano wa mafunzo kwa Mawakala wa Benki ya CRDB Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Jijini Zanzibar.

Mawakala wa Benki ya CRDB Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa mafunzo mafunzo ya utendaji wa Kazi za mihamala ya kibenki inayotolewa na Mawakal Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.