Wakulima wa zao la Karafuu,Viungo,Mwani na wazalishaji wa Chumvi wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akizungumza nao juu ya namna atakavyotatua changamoto zao baada ya kupata Urais wa Zanzibar mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Wesha Pemba.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgGZLgZ5OUiNr8S1gUx1Gb18dMGkwcqSXwEdcY_ZuJen4XaDbkZeFatzUQESfquNSxPXL5CbYCLdPUDK_6PdkSWP03YF6zmpTDJ43WWcQrjjFk9IGZyx4f79va8AO9BuIU4-h0Ws25p2x8/w640-h426/03.CR2)
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa CCM Pemba baada ya kumaliza mkutano wake na Wakulima wa zao la Karafuu Pemba.
No comments:
Post a Comment