Habari za Punde

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI ARUSHA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Relini, jijini Arusha, akionesha Ilani ya CCM wakati wa mkutano huo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Relini, jijini Arusha,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohammed maarufu  kwa jina la Shilole akiimba katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye uwanja wa Relini jijini Arusha Wananchi wa Arusha wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Relini jijini Arusha, Septemba 5, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.