Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi Azungumza na Katika Kongamano Maalum Zanzibar

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha Mapinduzi Mhe.dk HusseinMwinyi akiwapungia mkoni na kuwasalimia Wajumbe wa Kongamano Maalum lililoandaliwa na Umoja wa Wake wa Viongozi kwa kushirikiana na UWT Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani Jijini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.