Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Akihutubia Katika Mkutano wa Kampeni - Tarafa ya Ilongero

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa Kata ya Ilongero, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020
Wananchi wa Kata ya Ilongero, wakimshangilia  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa mkono, aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Kaskazini, Frank Petro, baada ya kuhamia rasmi Chama cha Mapinduzi, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. Kutoka kulia ni mdogo wa Frank, Daniel Petro na Mke wa Frank, Bitrina Ibrahim.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza, aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Kaskazini, Frank Petro, baada ya kuhamia rasmi Chama cha Mapinduzi, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.