Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Tanzania Katika Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijini.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini alipowasili katika Uwanja wa Polisi Nanyamba kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 10,2020.     


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Uwanja wa Polisi Nanyamba 


Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Uiwanja Polisi Nyanyamba leo Septemba 10,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.