Habari za Punde

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA PAJE UNGUJA

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Paje  katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo Octoba 19,2020
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Paje wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi  katika Uwanja wa Shule ya sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo 

Msanii wa Bongo Flavour Zuhura Othman Zuchu akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chanma cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 19,2020  katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.