MENEJA kampeni za CCM
Mkoa wa Kuisni Pemba Mohamed Aboud Mohamed, akimtambulisha mgombea ubunge wa
jimbo la Wawi Khamis Kassim Ali (BAAA), wakati wauzinduzi wa kameni za jimbo
hilo katika viwanja vya Ditia
MENEJA Kmapeni za
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza
wakati wauzinduzi wa mkutano wa kampeni jimbo la Wawi na kuwanadi wagombea wa
jimbo hilo, huko katika viwanja vya Ditia Wawi
MJUMBE wa kamati ya
Sisa ya Wilaya ya Chake Chake, Mwanajuma Majidi Abdalla akizungumzia katika
mkutano wakamni za CCM jimbo la Wawi mkutano uliofanyika Viwanja vya Ditia Wawi
MJUMBE wa kamati ya
siasa ya Mkoa wa Kuisni Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wanaccm wa
jimbo la Wawi wakati wauzinduzi wa kampeni za jimbo hilo huko katika uwanja wa
Ditia Wawi
Mgombea Uwakilishi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Wawi Pemba Ndg. Bakari Hamad Ali akizungumza katika mkutano wake wa kampeni wa Uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya Ditia Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment