MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman
Abdalla, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini
Pemba, Mberwa Hamad Mberwa mara baada ya kuwasili kisiwani Pemba kwa ziara ya
kikazi ya siku tatu.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman
Abdalla, akivishwa shada la mauwa na kijana Saada Said Massoud mara baada ya
kuwasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tatu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman
Abdalla, akisalimiana na Afisa Mdhamini Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Ibrahim
Saleh Juma, mara baada ya kuwasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tatu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman
Abdalla, akiwasalimia waliokuwa wafanyakazi wake wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba, mara baada ya kuwasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tatu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar Dk Khalid Salum Mohamed, akizungumza na wananchi wa mikoa miwili ya
Pemba, wakati waziara ya makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman
Abdalla, alipowasili Kisiwani Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment