Habari za Punde

RAIS MAGUFULI AMPENDEKEZA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU

Mpambe wa Rais Kanali Benard Paulo Masala Mulunga (katikati) akisindikizwa na wapambe wasaidizi wa Bunge kukabidhi barua kwa spika wa Bunge kutoka Rais, Dkt. John Pombe Magufuli,  yenye pendekezo la jina la Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 12, 2020.
Mpambe wa Rais Kanali Benard Paulo Masala Mulunga akimkabidhi spika wa Bunge Job Ndugai barua kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli yenye pendekezo la la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyemteua, Bungeni Jijini Dodoma
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akionesha kwa wabunge barua kutoka kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli yenye pendekezo la la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyemteua, Bungeni Jijini Dodoma,
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimpongeza Waziri Mkuu Mteule na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kusoma jina lake baada ya kupendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Bungeni Jijini Dodoma
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimpongeza Waziri Mkuu Mteule na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kusoma jina lake baada ya kupendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Bungeni Jijini Dodoma, 
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimpongeza Waziri Mkuu Mteule na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kusoma jina lake baada ya kupendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 12, 2020.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.