Habari za Punde

Uongozi wa CRDB wakutana na uongozi wa ZSSF kuangalia maeneo watakayoweza kushirikiana

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela akikisitiza jamabo wakati alipokuwa akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF, Bi Sabra Machano katika kikao cha pamoja kati ya CRDB na ZSSF kilichofanyika kwenye ofisi za ZSSF hapo Kilimani hivi karibuni
Uongozi wa CRDB pamoja na Uongozi wa ZSSF wakiwa katika kikao cha pamoja kuangalia maeneo watakayoweza kushirikiana na kutoa huduma bora kwa wanachama wa ZSSF katika kikao kilichofanyika kwenye ofisi za ZSSF Kilimani
Uongozi wa CRDB pamoja na Uongozi wa ZSSF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kikao chao kilichofanyika kwenye ofisi za ZSSF Kilimani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.