MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akimimina dongo la kujengea katika ndoo,
ikiwa ni ishara ya kushiriki katika ujenzi wa madrasa ya Qur-an inayojengwa kwa
nguvu za wananchi huko Kizimbani, kabla ya kukabidhi maaada wa saruji paketi 15
zilizotolewa na mbunge wa Viti Maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Asya
Sharif Omar
MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akiweka jiwe kuashiri kushiriki katika
ujenzi wa madrasa ya Qur-an inayojengwa kwa nguvu za wananchi huko Kizimbani,
kabla ya kukabidhi maaada wa saruji paketi 15 zilizotolewa na mbunge wa Viti
Maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Asya Sharif Omar.
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini
Pemba Salama Mbarouk Khatib, akimkabidhi mifuko 15 ya saruji Msimamizi wa
ujenzi wa Madrasa ya Qur-an Kizimbani Rashid Said Khalfan, iliyotolewa na
Mbunge wa Viti maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Asya Sharif Omar
(katikati)
MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akimkabidhi fedha tasimu shilingi laki
moja na elfu hamsini msimamizi wa ujenzi wa Madrasa ya Qur-an Kizimbani Rashid
Said Khalfan, fedha zilizotolewa na Mbunge wa Viti maalumu Wanawake Mkoa wa
Kaskazini Pemba Asya Sharif Omar (katikati).
Mbunge wa Viti maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Asya
Sharif Omar akishiriki katika ujenzi wa madrasa ya Qur-an kwa kuweka jiwe na
udongo, kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 15 ya saruji kwa uongozi wa madrasa
hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment