Habari za Punde

Rais Dk Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin katika Taarab ya kumpongeza kwenye ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Taarab ya kumpongeza iliofanyika jana usiki 5/12/2020 na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa  Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum iliofanyika jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza Rais iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na  (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum ilifanyika jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Chama na Wananchi wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akitowa Salamu za NMB na kumpongeza Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Taarab Maalum iliandaliwa na Benki ya NMB katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na kutowa salamu za pongezi kwa Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo ya Taarab rasmin iliofanyika jana usiku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna (kushoto kwake ) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe Asha Abdalla Juma (kulia kwake)  akienda kutunza katika hafla ya Taarab rasmin ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu )
BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakishiriki katika hafla yaTaarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) wakijumuika katika taarab huiyo wakati Kikundi cha Culture kikitowa burudani kwa wimbo wake “Mpewa hapokonyeki” ikiimbwa na Msanii Bi.Mgeni Khamis, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwaryam Mwinyi na (kushoto kwake) Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna wakijumuika katika Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) wakijumuika na Wananchi katika hafla hiyo wakati Msanii wa Kikundi cha  Zanzibar Big Star Tahir Khamis akiimba wimbo wa “ Warewarew CCM” katika hafla hiyo
iliofanyika jana usku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakiul Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.