Habari za Punde

SIMBACHAWENE AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI, ASHIRIKI MAJADILIANO YA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA WIZARA NA IDARA ZAKE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza wakati akifungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Majukumu kwa mwaka 2020/2021, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (wapili kulia), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (wapili kushoto), Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi Felix Mwagara (wakwanza kushoto)  na Mwenyekiti wa TUGHE John Jambele wakiongoza wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi kuimba nyimbo ya mshikamano
Kamishna Jenerali wa  Uhamiaji, Dkt Anna Makakala akizungumza kwenye Kikao cha Baraza la Wafanyakazi  cha kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Majukumu kwa mwaka 2020/2021, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, jijini Dodom
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Polisi Zanzibar,  Mohammed Hassan  Haji akizungumza kwenye Kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Majukumu kwa mwaka 2020/2021, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.