WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,
Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman, akikunjuwa kitamba kuashiria
uwekaji wajiwe la Msingi kambi ya KM KM Kiuyu M’buyuni Wilaya ya Micheweni
ikiwa ni shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,
Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman, akikagua nyumba za makaazi ya kambi
ya askari KM KM Kiuyu M’buyuni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni shamrashamra za
miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA
NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MUONEKANO wa nyumba za askari wa KM KM Kiuyu
M’buyuni Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wananchi ambao wamehudhuria uwekaji wa
jiwe la Msingi kambi ya KM KM Kiuyu M’buyuni Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni
shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
NAIBU Mkuu wa KM KM Zanzibar kepteni Khamis Simba
Khamis, akizungumza machache juu ya kambi ya KM KM Kiuyu M’buyuni Wilaya ya
Micheweni, ikiwa ni shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za
Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Radhia Rashid Haroub, akisoma taarifa ya
Kitaalamu ya ujenzi wa Kambi ya KM KM Kiuyu M’buyuni Wilaya ya Micheweni, ikiwa
ni shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,
Utumishi na Utawala bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, akizungumza na wananchi
wa Kiuyu M’buyuni Wilaya ya Micheweni pamoja na Askari wa KM KM, baada ya
uwekaji wa jiwe la msingi la kambi ya askari hayo, ikiwa ni shamrashamra za
miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA
NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salam Mbarouk
Khatib, akitoa neon la shukurani kwa wananchi wa kiuyu M’buyuni wilaya ya
Micheweni, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi kambi ya askari wa KM KM, ikiwa
ni shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya maafisa wa vikosi vya idara maalumu za SMZ
kisiwani Pemba wakifuatilia kwa makini uwekaji wa jiwe la msingi kambi ya
askari wa KM KM kiuyu M’buyuni Wilaya ya Michweni, ikiwa ni shamrashamra za
miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA
NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment