Habari za Punde

Yanga yazidi kung'ara Mapinduzi Cup Yaifunga Namungo 1-0 Uwanja wa Amaan

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga Yacouba akijaribu kumpita beki wa Timu ya Namungo Frank Magingi wakati wa mchezo wao Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

BEKI wa Timu ya Yanga Abdalla Shaib Ninja akipiga mpira golini kwa Timu ya Namungo katika mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi  Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

BEKI waTimu ya Namungo Humoud Abdulhalim akjaribu kumpita mshambuliaji wa Timu ya Yanga Yacouba, wakati wa mchezo wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Yanga Mauya akimpita beki wa Timu ya Namungo Hashim Manyana wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

Wachezaji wa Timu ya Yanga na Namungo wakiwania mpira katika mchezo wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup, uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Namungo Bigirimani akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Yanga Kibwana Shomari wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika jana usiku katika Uwanja wa Amaan Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

Beki wa Timu ya Namungo Humoud Abdulhalim akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Timu ya Yanga Tuisila Kisinda akiwa chini wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao.1-0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.