Habari za Punde

Mbunge wa Viti Maalum CCM Mhe. Asya Sharif Awahamasisha Wanawake wa Mtambwe Kinazini

MBUNGE wa viti maalumu Mkoa wa Kaskazini Pemba Asya Sharif Omar, akiwashajihisha akinamama wa kinazini Mtambwe, kujikita katika uchumi wa buluu na Vikundi cha ushirika ili kuondokana na umasikini
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kaskazini Pemba Asya Sharif Omar, akimkabidhi fedha za kununulia misumari katibu wa Maskani ya Kinazini Mtambwe Said Hamad Said, kwa ajili ya kuezeka bati za maskani hiyo

MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kaskazini Pemba Asya Shariff Omar, akikabidhi bati 20 kwa katibu wa Maskani ya Kinazini Mtambwe Said Hamad Said, kwa ajili ya kuezeka maskani hiyo ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa wananchi hao.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.