Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Pemba Akabidhi Vifaa vya Ujenzi.

MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba Bakar Hamad Bakar (kushoto) akimkabidhi matufali 400 mwenyekitiwa kamati ya maendeleo ya skuli ya msingi na maandalizi Furaha Wilaya ya Chake Chake  Ibrahim Mohamed Saleh, kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa jiko la kupikia uji wanafuzni wa skuli ya maandalizi Furaha.
MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Kiswani Pemba Bakar Hamad Bakar kushoto akishiriki katika ujenzi wa jiko la kupikia uji kwa wanafunzi wa skuli ya maandalizi Furaha Wilaya ya Chake Chake, ujenzi huo umekuja baada ya banda kongwe la miti kuanguka, huku  mwenyekitiwa kamati ya maendeleo ya skuli ya msingi na maandalizi Furaha   Ibrahim Mohamed Saleh, akishuhudia ujenzi huo.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.