Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amtembelea Rais Mstaaf Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Nyumbani Kwake Kibele leo 5-2-2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Rais Mstaaf wa Zanzibar wa Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kumsalimiana na kuzungumza nae.
RAIS Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwake Kibele kwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza nae, wakiwa katika mazungumzo yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.