WAANDISHI wa habari Kisiwani Pemba wakifuatilia kwa
makini, mafunzo ya siku nane juu ya kuwajengea uwezo wanawake kudai haki zao
kisiasa na uongozi yaliyoandaliwa kwa pamoja na TAMWA, ZAFELA na PEGAO.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya
habari Kisiwani Pemba, wakiwa katika kazi za vikundi wakati wa mafunzo ya siku
nane juu ya kuwajengea uwezo wanawake kudai haki zao kisiasa na uongozi
yaliyoandaliwa kwa pamoja na TAMWA, ZAFELA na PEGAO.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWANDISHI wa Habari Mwandamizi Kisiwani Pemba Ali
Mbarouk Omar, akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali
mbali vya habari, juu ya kutumia takwimu katika habari zao wakati wa mafunzo ya
siku nane juu ya kuwajengea uwezo wanawake kudai haki zao kisiasa na uongozi
yaliyoandaliwa kwa pamoja na TAMWA, ZAFELA na PEGAO.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment