Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewaongoza Viongozi wa Serikali na Wananchi Nchini Tanzania katika misa ya Maziko ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yaliofanyika Kijijini kwao Chato leo.
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAZINDUA CHANJO ZA MIFUGO MKOANI GEITA
-
Na Nasra Ismail
Wizara ya ufugaji na uvuvi leo imezindua chanjo ya homa ya mapafu kwa
ngombe mkoani Geita pamoja na kuzindua zoezi la uvikwaji wa hereni ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment