Habari za Punde

Muonekano wa Barabara ya Shekilango

Mandhari ya Barabara ya Shekilango km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, upana mita 22, njia za watembea kwa miguu,taa za Kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya barabara ya Morogoro na kupita mitaa yote ya Sinza mpaka maungio ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam ikiwa inapendeza mara baada ya ujenzi wake kukamilika. PICHA NA IKULU 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.