RAIS wa Zanzibar
naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza misaada mbalimbali inayotolewa na Jumuiya zisizo zak iserikali
(NGOs) kwa kuzingatia misaada hiyo inalenga moja kwa moja kuisaidia jamii.
Dk. Mwinyi ametoa pongezi hizo Ikulu Jijini hapa, alipokutana na kuzungumza na Viongozi wa Jumuiya ya ‘Helping Hand’ pamoja na Muzdaliffa Cheritable Organisation.
Amesema misaada mbalimbali inayotolewa na Jumuiya zisizo za Kiserikali, ikiwemo uchimbaji wa visima, vifaa tiba pamoja na samani za aina mbalimbali inalenga katika maeneo sahihi ya kijamii.
Alisema pamoja na juhudi zinazofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Maji (ZAWA) yakusambaza maji katika maeneo yote nchini, bado upatikanaji wa huduma hizo haujakidhi mahitaji, hivyo hatua ya Jumuiya hiyo kuchimba visima ni vyema ikaendelea.
Rais Dk. Mwinyi aliishauri Jumuiya hiyo kufikiria uwezekano wa kutumia pampu za ‘Solar’ ikiwa ni hatua ya kupunguza gharama za uendeshaji kwa wananchi baada ya miradi kukamilika.
Aidha, alishauri kuendelea na utoaji wa Huduma za tiba kupitia Kambi mbalimbali, ikiwemo macho na kubainisha kuwa bado huduma zinazotolewa na Hospitali ziliopo nchini hazijawa za kutosheleza, hivyo akatoa pongezi kwa uongozi wa Jumuiya hiyo kwa misaada ya vifaa tiba, ikiwemo vya kuhifadhia damu.
Kuhusina na misaada ya samani, Dk. Mwinyi alisema kuna uhaba mkubwa wa samani katika taasisi mbalimbali za Ulinzi, ikiwemo Polisi, Magereza pamoja na vyuo vya Amalihivyokunaumuhimuwakuendeleakuzisaidia.
AliwahakikishiaviongoziwaJumuiyahiyokuwaserikaliitaendeleakutoakilaainayaushirikianonakuhakikishavifaanasamanizotezinazotolewakwamisingihiyohavitozwiushuru,
hivyoakawatakakuendeleanajuhudizakuisaidiajamii.
Dk. MwinyialitoashukuranikwaViongoziwaJumuiyahiyokwakazikubwananzuriwanayofanya,
kwakutambuakuwaSerikalihaiwezikufanyakilajambo.
MapemaKiongoziwaJumuiyaya ‘Helping
Hand’
YassirSalimMasoudalisemakuwaJumuiyahiyoimekuwaikitowamisaadambalimbaliyakijamiikwawananchiwa
Zanzibar, ikiwemouchimbajiwavisima, kambikwaajiliyawagonjwa (macho), utoajiwavifaatibapamojanasamanizaainambalimbali.
Alisemakwatakribankipindi cha miaka 10
sasaJumuiyahiyoimetowamisaadambalimbaliyenyethamaniyazaidishilingiBilioni 17.1
nakufanikiwakuchimbavisima48
katikamaeneotofautinchini.
AlisemaHospitalizaMnazimmojanaAbdallaMzee
Pemba zimewezekunufaikanamisaadainayotolewanaJumuiyahiyokwakupatiwavifaatiba,
hukutaasisimbalimbalikama vilePolisi, MagerezanaVyuovyaAmalizikinufaikanasamanizaainatofauti.
AlisemaJumuiyahiyoinalengakuletamakontena
20 mwakahuu, mawilikatiyakeyatakayokuwanavifaavyaainambalimbali, ikiwemosamani,vifaatiba,nguopamojanaviatuyakitarajiwakuwasilinchinihivikaribuni.
AliiombaSerikalikuendeleeakutoamsamahawakodikwaJumuiyahiyokwakuzingatiamisaadayoteinayotolewainawalengawananchi.
Nae, MkurugenziwaMuzdalifaCheritable
Organization Farouk HamadKhamisalisemaJumuiyahiyoimejikitakatikautoajiwamisaadambalimbalimbaliyakijamiikwawananchiwaUngujana
Pemba, kama vile uchimbajiwavisima,
hudumakwamayatimanavifaatibaambapomiongonimwaJumjuiyazinazofadhilini ‘Helping
Hands’.
Jumuiyaya ‘Helping Hands’
yenyemakaomakuuyakenchiniMarekaniimekuwaikifanyashughulizakuisaidiajamiihapa
Zanzibar tangumwaka 2012.
AbdiShamna, Ikulu Zanzibar
Postal Address: 2422 Tel.:0777476982. Fax: 024
2231822
E-mail: abdya062@gmail.com
No comments:
Post a Comment