Habari za Punde

Rais DK Hussein Mwinyi akutana na Bodi ya Helping Hand for Relief and Development Tanzania Ikulu leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Helping Hand for Relief and Development Tanzania.Sheikh.Yasser Salim Awadh, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Kazi za Helping Hand for Relief of Development Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi Sheikh Yassir Salim Awadh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Helping Hand for Relief of Development Tanzania, ukiongoza na Mwenyekiti wa Bodi Sheikh.Yassir Salim Awadh (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.