Habari za Punde

Wananchi wa Zanzibar Wamlilia Hayati Dkt.John Pombe Magufuli Katika Mapokezi ya Mwili wa Marewhemu Zanzibar Ukipita Katika Barabara ya Uwanja wa Ndege na Mwanakwerekwe Kuelekea Uwanja wa Amaan Kwa Ajili ya Kuagwa leo.

Wananchi wa Zanzibar wakiwa na mabango wakitowa heshima zao za mwisho kwa Hayati Dkt.John Pombe Magufuli wakiwa katika barabara ya kiembesamaki wakati wa kuwasili kwa Zanzibar ukielekea Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.