Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Selemani Jafo kushoto na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Hamad Hassan Chande kulia, kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais katika makazi yake Jijini Dodoma leo April 2021. katika mazungumzo yao Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mpango amesisitiza juu ya utekelezaji wa haraka masuala ya Changamoto zilizobaki za Muungano na Mazingira ikiwemo suala la Mabadiliko ya Tabia Nchi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
RC MJEMA AZINDUA MEDALI, JEZI & NAMBA MBIO ZA SHINYANGA MADINI MARATHON
-
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akizungumza jambo wakati akizindua
Medali, Jezi na Namba za washiriki Shinyanga Madini Marathon. Picha na
Kadama M...
14 minutes ago
No comments:
Post a Comment