Habari za Punde

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA YUSUPH TINDI MNDOLWA KUWA BALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapishaMkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika MasharikiYusuph Tindi Mndolwa kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 19 Aprili 2021
Yusuf Tindi Mndolwa akila Kiapo cha kuwa Balozi katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo 
Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Yusuph Tindi Mndolwa akila Kiapo cha Uadilifu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao eGA Bw. Benedict Benny Ndomba mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 19 Aprili 2021

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.