Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Allan Albert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Godius Walter Kahyarara kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Gabriel Joseph Migire kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (anayeshughulikia uchukuzi) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kheri Abdul Mahimbali kuwa Naibu Katib u Mkuu Wizara ya Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Alphayo Japani Kidata kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakila kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Viongozi na Watendaji mbalimbali kwenye Hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Makamishna wa Taasisi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es salaam.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.