RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka Zanzibar kuelekea Nchini Msumbiji
kumuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC unaofanyika Jijini Maputo Msumbiji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakisalimiana na kuagana Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohammed Mussa
na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed
Said, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea
Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe Idrisa Mustafa Kitwana, akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa
Wakuu wa Nchi za SADC, akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, unaofanyeka Jijini Maputo Msumbuji.
No comments:
Post a Comment