Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Yaadhimishwa Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo (watatu kushoto) pamoja na viongozi mbalimbali akiongoza matembezi ya hiyari kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani jijini Dodoma leo Mei 29, 2021 ambapo alimuwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip IsdorMpango. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.