Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO APIGA KURA KUCHAGUA MBUNGE BUHIGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisubiria kukabidhiwa karatasi ya kupiga kura kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha kupiga kura Polling Station Wilayani Buhigwe MKoani  Kigoma Anania Emily leo Mei 16,2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika Kituo cha kupiga kura Polling Station Wilayani Buhigwe MKoani  Kigoma leo Mei 16,2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.