Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya
kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Corona COVID -19 nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa
Kamati hiyo Profesa Said Aboud Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei,
2021.
No comments:
Post a Comment