Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania TRC Masanja Kadogosa Ikulu Jijini Dar es Salaam

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania TRC Masanja Kadogosa leo tarehe 22 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.