Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amewasili Nchini Msumbuji Kuhudhuria Mkutano wa SADC.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto wa Msumbiji Mhe. Nyeleti Brooke Mondlane katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mavalane  jijini Maputo Msumbiji.

Rais Mwinyi anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali ( SADC Extraordinary Double Troika Summit) unatarajiwa kuanza leo tarehe 27. Mei 2021. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.