Habari za Punde

Miili ya Marehemu Waliopata Ajali ya Basi Mkoani Shinyanga leo Yawasili Zanzibar na Kupokelewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman

Ndege iliokodiwa na Serikali ya Mapinduzi kwa ajili ya kusafirisha miili ya marehemu waliopata ajali Mkoani Shinyanga ikiwa katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikiwa na miili ya Marehemu Watatu. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiwafariji Familia za Marehemu waliofika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ajili ya kupokea miili ya ndugu zao waliopata ajali ya basi Mkoani shinyanga leo asubihi wakitokea Kampala Uganda waliokuwa wakisoma Bugema University Uganda. 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla akiongoza Viongozi wa Serikali, Ndgu wa Familia wa Marehemu na Wananchi wakipokea miili ya Marehemu Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Bugema Uganda waliopata ajali ya Basi wakiwa safarini wakitokea Uganda kuelekea Dar es Salaam na kupata ajali katika eneo la Shinyanga leo asubuhi.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.