Habari za Punde

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Mgeni Hassan Juma Amekutana na Kuzungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Tanzania.

Naibu Spika Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassan Juma  akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi. Hodan Addou, alipofika ofisini kwake Chukwani Zanzibar kwa mazungumzo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.