Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akiondoka Nchini Msumbiji Baada ya Kumalizika Mkutano wa SADC Jijini Maputo leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji mara baada ya kushirikiMkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika leo tarehe 23 Juni, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano Maputo Msumbiji.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.