RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Viongozi wa meza kuu
wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki katika hafla ya Ufunguzi
wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii,Kiuchumi na Uhifadhi
wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa
Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi
Zanzibar Mhe. Abdalla Hussein Kombo, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.
Zuberi Ali Maulid na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Bw.Kadari Singo
Washiriki wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii,Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mabalozi wadogo wanaofanyia kazi zao
Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika
Mashariki kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar,
lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya Kongamano la Uchumi
wa Buluu yakitowa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Tanzania Bw.
Kadari Singo, akitowa maelezo ya Kongamano hilo (hayupo pichani) lililofanyika
katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Abdallah Hussein Kombo.
AFISA Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi
Tanzania. Bw.Kadari Singo akizungumza na kutowa maelezo ya Kongamano la Uchumi
wa Buluu Zanzibar, lililoandaliwa na taasisi hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya
Verde Mtoni Jijini Zanzibar
MWAKILISHI Mkazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.
Christine Musisi akizungumza na kutowa Salamu za Shirika lake katika mkutano wa
Ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar lililofanyika katika ukumbi
wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
MRATIBU UNEP Nchini Tanzania Bi. Clara Makenya
akizungumza na kutowa Salamu za Shirika lake katika mkutano wa Ufunguzi wa
Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
MWAKILISHI Mkazi wa UN Women Tanzania Bi.Hodan
Addou akizungumza na kutowa Salamu za Shirika lake katika mkutano wa Ufunguzi
wa Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa hoteli
ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe.
Abdalla Hussein Kombo akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kulifungua
Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa
Mazingira Zanzibar, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa hoteli
ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la
Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira
Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi Tanzania na kufanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika kazi zao
Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu, wakati Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua rasmin kongamano hilo katika ukumbi
wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
WAWAKILISHI wa UN na Wageni waalikwa
wakifuatilia hutuba ya ufunguzi ya Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo
ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) akihutibia na kulifungua rasmin katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar.
WASHIRIKI wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa
Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, wakifuatilia
Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini
Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu
kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar,
lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
MTAFITI Mwandamizi Taasisi ya Uongozi
Prof.Joseph Semboja akiwasilisha Mada kuu kuhusiana na Uchumi wa Buluu wakati
wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi
wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uchumi wa Buluu
ikiwasilishwa na Mtafiti Mwandamizi Taasisi ya Ungozi Prof. Joseph Semboja,
akiwasilishwa wakati wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii
Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa
hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe. Suleiman Hemed Abdulla, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi.Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Abdalla Hussein Kombo na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk,Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi Wadogo na Wawakilishi wa Taasisi za Umoja wa Mataifa Tanzania.
No comments:
Post a Comment