Habari za Punde

Uzinduzi wa Hoteli ya Kisasa ya Golden Tulip Zanzibar Airport .

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Mwenyekiti wa Makapuni ya Royal Group Bw. Mohammed Eaza Daramsi alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kisasa ya Golden Tulip Zanzibar Airport, (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uwezeshaji Uchumi Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiwa na Viongozi wa Serikali na Wamiliki wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Airport, wakimsubiri mgeni rasmin Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa ajili ya kuifungua Hoteli hiyo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wawekezaji wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Airport, ilioko jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kumaliza kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Hoteli hiyo ya Kisasa ya Golden Tulip Zanzibar Airport jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua rasmin Hoteli ya Kisasa ya Kitalii ya Golden Tulip Zanzibar Airport jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar (kulia kwake) Mwenyekiti wa Makampuni ya Royal Group.Bw. Mohammed Raza Daramsi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Royal Group Bw.Hassan Mohammed Raza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Royal Group Bw.Hassan Mohammed Raza akitowa maelezo kwa mgeni rasmin. wakati akitembelea 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Royal Group Bw.Hassan Mohammed Raza akitowa maelezo kwa mgeni rasmin. wakati akitembelea 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Airport jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, baada ya kuifungua Hoteli hiyo akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Royal Group Bw.Hassan Mohammed Raza. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Royal Group Bw. Hassan Mohammed Raza akitowa maelezo wakati akitembelea Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Airport jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, baada ya kuifungua rasmin. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Airport jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, baada ya kuifungua Hoteli hiyo akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Royal Group Bw.Hassan Mohammed Raza. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika eneo maalum lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na wananchi katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip Zanzibar Airport jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar.,
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Royal Group Bw. Hassan Mohammed Raza akizungumza na kutowa maelezo ya kitaalum ya ujenzi wa Hoteli hiyo ya Kitalii ya Golden Tulip Zanzibar Airport , wakati wa hafla ya ufunguzi wake rasmin uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwezeshaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kisasa ya Utalii ya Golden Tulip Zanzibar Airport, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Hoteli ya Kisasa ya Kitalii ya Golden Tulip Zanzibar Airport,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hoteli hiyo. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.