MENEJA Msimamizi wa Biashara
NMB Zanzibar Abdalla Duchi, akizungumza
wakati wa hafla ya kukabidhi vitanda vya vituo vya afya na mabati ya kuezekea,
ikiwa ni msaada uliotolewa na benki ya NMB kwa mkuu wa wilaya ya Magharibi A
huko skuli ya Mbuzini.
MENEJA Msimamizi wa Biashara
NMB Zanzibar Zanzibar Abdalla Duchi
akimuleleza jambo mkuu wa wilaya ya Magharibi A Suzan Kunambi, wakati
amkuu huyo wa wilaya akipokea vvitanda vya vituo vya afya vilivyotolewa na
benki ya NMB kwa baadhia ya vituo vya afuya ndani ya wilaya hiyo
MKUU wa wilaya ya Magharibi
A Suzan Kunambi (mwenye kilemba chekundu) akipokea msaada ya mabati ya kuezekea
kwa baadhi ya skuli za wilaya hiyo, zilizotolewa na benki ya NMB, anayekabidhi
ni meneja Msimamizi wa Biashara NMB
Zanzibar Abdalla Duchi kwa niaba ya uongozi wa benki hiyo hafa iliyofanyika
skuli ya Mbuzini.
MKUU wa wilaya ya Magharibi A Suzan Kunambi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vitanda vya vituo vya afya na mabati ya kuezekea, ikiwa ni msaada uliotolewa na benki ya NMB kwa mkuu wa wilaya ya Magharibi A huko skuli ya Mbuzini.
No comments:
Post a Comment