Habari za Punde

Wafadhili wa Mradi wa kuwarejesha watoto Skuli

Wafadhili wa Mradi wa kuwarejesha watoto Skuli,wakiwa na wenyeji wao baadhi ya watendaji  wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya AmaliZanzibar, wakiangalia daftari la orodha ya Wanafunzi waliorejeshwa Skuli, katika Skuli ya Msingi Fukuchani wakati walipofika kwa ajili ya kujionmea uhalisia wa Wanafunzi hao.
Wafadhili wa Mradi wa kuwarejesha watoto  Skuli, wakiwa na wenyeji wao  baadhi ya watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakizungumza na Wanafunzi waliorejea Skuli, wakati walipofanya ziara kuona uhalisia wa awanafunzi hao Moawa Kaskazini Unguja.
Wanafunzi Waliorudi Skuli wakiwa Darasani na Walimu wao, katika Skuli ya Msingi Potoa Kaskazini Unguja.
Wafadhili wa Mradi wa kuwarejesha watoto Skuli wakimuangalia mmoja wa Wanafunzi hao anavyoandika, wakati wakati walipofika kuangalia uhalisia wa Wanafunzi hao huko Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafadhili wa Mradi wa kuwarejesha watoto  Skuli, wakiwa na wenyeji wao  baadhi ya watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakizungumza na Wanafunzi waliorejea Skuli, wakati walipofanya ziara kuona uhalisia wa awanafunzi hao Moawa Kaskazini Unguja.
 Picha na Maulid Yussuf .WEMA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.