Habari za Punde

WAZIRI MHAGAMA AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJIMENTI NA WATUMISHI WA PSSSF

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) alipokutana nao kwa lengo la kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na mfuko huo Agosti 17, 2021 katika kikao kilichofanyika jengo la PSSSF Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), CPA. Hosea Kashimba akitoa taarifa fupi kuhusu mfuko huo wakati wa kikao cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Watumishi wa Mfuko huo kilichofanyika Agosti 17,2021 jijini Dodoma.
Sehemu ya watumishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wakifuatilia kikao hiko kilichokuwa kikiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama alipokutana nao kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya mfuko huo Agosti 17,2021 jijini Dodoma.
Sehemu ya watumishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wakifuatilia kikao hiko kilichokuwa kikiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama alipokutana nao kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya mfuko huo Agosti 17,2021 jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Hifadhi ya Jamii, Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Festo Fute (kushoto) akifuatilia majadiliano katika kikao hicho cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Menejimenti pamoja na Watumishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Mhasibu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bi. Munira Hussein akichangia jambo wakati wa kikao hicho cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Menejimenti pamoja na Watumishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), CPA. Hosea Kashimba wakati wa kikao hicho.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(SERA, URATIBU, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.