Habari za Punde

Muswada wa Sheria ya kuanzisha ofisi ya Msajili wa Hazina na Usimamizi wa mali za Umma waanza kujadiliwa BLW

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango mhe Jamal Kassim Ali akisoma hotuba ya Mswada wa Sheria ya kuanzisha ofisi ya Msajili wa Hazina na Usimamizi wa mali za Umma na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Mwenyekiti wa kamati ya kutunga sheria ya Baraza la wawakilishi mhe Zubeir Ali Maulid [katikati] akiwahoji wajumbe wa baraza la Wawakilishi [hawapo pichani] kuhusu vifungu vya Mswada wa kuanzishwa ofisi ya Msajili wa Hazina na Usimamizi wa mali za Umma na mambo mengine yanayohusiana na hayo.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.