Habari za Punde

Ziara ya Kimafunzo ya NaibuKatibu Mkuu TAMISEMI Kituo cha Ubunifu Regeza Mwendo Zanzibar.

Naibu katibu Mkuu TAMISEMI Tanzania bara bw Gerald G. Mweli wa pili kushoto, akiwa na ujumbe wake, wakisikiliza kwa makini maelezo juu ya matumizi ya maktaba ya kituo cha Ubunifu wa kisayansi kiliopo Regeza Mwendo, wakati wa ziara yao maalumu ya kujifunza mfumo wa mafunzo kwa njia ya simu VIAMO, hapa Zanzibar.
Naibu katibu Mkuu TAMISEMI Tanzania bara wa pili bw Gerald G. Mweli  katikati, akiwa na ujumbe wake, wakipata maelezo juu ya namna ya matumizi ya Studio ya kurekodia vipindi vya redio, katika kituo cha Habari Elimu na Mawasilano Kwarara, wakati walipofanya  ziara maalumu ya kujifunza mfumo wa mafunzo kwa njia ya simu VIAMO, hapa Zanzibar.

Naibu katibu Mkuu TAMISEMI Tanzania bara bw Gerald G. Mweli wa pili kushoto, akiwa na ujumbe wake,wakiwfanya kipindi cha majaribio katika Studio ya kurekodia ya Televisheni katika kituo cha Habari Elimu na Mawasilano Kwarara, wakati walipofanya  ziara maalumu ya kujifunza mfumo wa mafunzo kwa njia ya simu VIAMO, hapa Zanzibar.
Picha na Maulid Yussuf WEMA.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.