Habari za Punde

Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto nchini wafanyika Zanzibar

Baadhi ya Wafanya biashara wa Bidhaa mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Usalama wa Chakula  Dk,Khamis Omar akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.

Afisa Usajili wa Chakula  ZFDA Fatma Taha Makame akiwasilisha mada kuhusiana na Taratibu za Uingizaji wa Bidhaa za Chakula  katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.

Afisa Usajili wa Chakula  ZFDA Warda Mwinyi Pembe  akiwasilisha mada kuhusiana na Taratibu za Usajili wa Bidhaa za Watoto katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.

-Mfanya Biashara wa kampuni ya Ndoto General Supply LTD Asaa Khamis Bakari akizungumza na Waandishi wa Habari  katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.


Mkaguzi wa Chakula  kutoka ZFDA Aisha Suleiman Mubandakazi akiwasilisha mada kuhusu Athari za matumizi ya sukari na vyakula nyongeza katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.


PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.