Habari za Punde

CCM yafanya uteuzi wa Makatibu wa Mikoa

Taarifa kwa Umma


Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuendelea kufanya mageuzi ya kiuongozi na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya wakati, mwenendo wa mabadiliko ya siasa za dunia na madhumuni ya Chama chetu katika kuwatumikia wananchi kikamilifu.

Hivyo Chama kimefanya uteuzi wa makatibu wa mikoa 32, waliobaki vituo vyao vya kazi ni 10, waliopangiwa vituo vipya ni 12 na wapya ni 9; aidha makatibu wa wilaya ni 168 ambapo waliopangiwa vituo vipya ni 67, waliobaki kwenye vituo vyao vya kazi ni 45 na wapya ni 56. Katika uteuzi huu kwa kuzingatia suala la jinsia wanawake ni 67 sawa na asilimia 33.5 na wanaume ni 133 sawa na asilimia 66.5.

Katika uteuzi huu hakuna hata mmoja aliyetoka nje ya mfumo wa Chama Cha Mapinduzi. Makatibu wapya wa Mikoa na Wilaya wametokana na kupandishwa hadhi  kwa makatibu wa CCM wa Wilaya, makatibu wa jumuiya za CCM Wilaya na Mikoa, Maafisa wa Chama na jumuiya Makao Makuu kwa utendaji kazi wao mzuri pamoja na makatibu waliorejeshwa kwenye utumishi kutokana na utiifu wao kwa Chama.

Katika uteuzi huu Kamati kuu ya Halmashauri kuu ilizingatia sifa za ziada ikiwemo uadilifu, uaminifu, weledi, uwezo, bidii, ubunifu, jinsia na rika. Makatibu wapya na waliohamishwa vituo vya kazi kwa Mikoa na Wilaya wanatakiwa kuripoti vituo vyao vya kazi mara baada ya kupokea barua zao. Uteuzi wa Makatibu wa CCM Mikoa na Wilaya uliofanyika ni kama ifuatavyo:-

Uteuzi huu umeanza mara moja kuanzia tarehe 6 Novemba, 2021.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, 
Itikadi na Uenezi.
8 Novemba,2021

 

A.  MAKATIBU WA CCM WA MKOA

Na

Jina Kamili

KITUO

1

Ndg. Mussa Dadi Matoroka

Arusha

2

Ndg. Adam Ngalawa

 Dar Es Salaam

3

Ndg. Pili Mbanga

Dodoma

4

Ndg. Mwanamasudi Pazi

Rukwa

5

Ndg. Naomi Kapambala

Manyara

6

Ndg.Omar Mtuwa

 Katavi

7

Ndg. Rukia Mkindu

Iringa

8

Ndg. Innocent Nanzabar

Simiyu

9

Ndg. Elias Mpanda

Morogoro

10

Ndg. Marco Mbanga

Kaskazini Pemba

11

Alhaji Saad Kusilawe

 Mbeya

12

Ndg. Donald Etamya Magesa

Shinyanga

13

Ndg. Yusuf Said Goha

 Pwani

14

Ndg.  Barnabas Essau

Lindi

15

Ndg. Langael Akyoo

Mara

16

Ndg. Alexandrina Katabi

Geita

17

Ndg. Suleiman Mzee

Tanga

18

Ndg. Mobutu Malima

Kigoma

19

Ndg. Julius Peter

Mwanza

20

Ndg. Christopher Palangyo

Kagera

21

Ndg. Mgeni Musa Haji

 Mtwara

22

Ndg. Lucy B. Shee

Singida

23

Ndg. Solomon Kasaba

Tabora

24

Ndg. Jonathan Mabihya

Kilimanjaro

25

Ndg. Mullar Othuman Zuber

Magharibi

26

Ndg. Mohamed Ally  Khalfan

Kusini Pemba

27

Ndg. Shaibu Akwilombe

Ruvuma

28

Ndg. Amina Imbo

Kusini Unguja

29

Ndg. Abdullar Mwinyi Hassan

Njombe

30

Ndg. Salum Suleiman Tate

Mjini

31

Ndg. Juma Mpeli

Songwe

32

Ndg. Ramadhan Rajab (Kapeto)

Kaskazini Unguja

 

B.  MAKATIBU WA CCM WA WILAYA

1.    ARUSHA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Kataba Sukuru

Arusha Mjini

 

2.        

Ndg. Shaban Mrisho

Karatu

 

3.        

Ndg. Safina Alfred

Monduli

 

4.        

Ndg. Aboubakar Ghaty

Ngorongoro

 

5.        

Ndg. Mwadawa Maulid

Arumeru

 

6.        

Ndg. Gulisha Mfanga

Meru

 

7.        

Ndg. Alaw Haidary

Longido

2

 DAR ES SALAAM

 

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Idd Mkowa

Ilala

 

2.        

Ndg. Kitte Mfilinge

Temeke

 

3.        

Ndg. James Mgego

Kinondoni

 

4.        

Ndg. David Mollel

Kigamboni

 

5.        

Ndg. Henry Msunga

Ubungo

 

 

 

 

 

3

MKOA WA DODOMA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Sophia Kibaba

Dodoma Mjini

 

2.        

Ndg. Omary Ng’wanang’walu

Chamwino

 

3.        

Ndg. Jamila Mujungu

Bahi

 

4.        

Ndg. Sophia Kiwanga

Mpwapwa

 

5.        

Ndg. Himid Tweve

Chemba

 

6.        

Ndg. Joyce Mkaugala

Kongwa

 

7.        

Ndg. Maimuma Likunguni

Kondoa

 

 

4

MKOA WA GEITA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Odilia Batimayo

Bukombe

 

2.        

Ndg. Tija Magoma

Geita

 

3.        

Ndg. Josephat Chacha

Mbogwe

 

4.        

Ndg. Chiku Masanja

Nyang’wale

 

5.        

Ndg. Charles Mazuri

Chato

 

 

 

 

5

 

 

 

MKOA WA IRINGA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Frida Kaaya

Mufindi

 

2.        

Ndg. Christina Kibiki

Kilolo

 

3.        

Ndg. Gama J. Gama

Iringa Vijijini

 

4.        

Ndg. Bora Ngaraba

Iringa Mjini

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

6.       MKOA WA KAGERA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Frata Katumwa

Bukoba Mjini

 

2.        

Ndg. Adam Sudi

Biharamulo

 

3.        

Ndg. Jesca Ndyamkama

Bukoba Vijijini

 

4.        

Ndg. John Melele

Ngara

 

5.        

Ndg. Agness Kasela

Muleba

 

6.        

Ndg. Francis Kambona

Kyerwa

 

7.        

Ndg. Anatory Nshange

Karagwe

 

8.        

Ndg. Bakari Mwacha

Misenyi

 

 

 

 

7.       MKOA WA KATAVI

 

NA

JINA KAMILI

KITUO A

 

1.        

Ndg. Evarist Mkingwa

Mpanda

 

2.        

Ndg. Sadick Kadulo

Mulele

 

3.        

Ndg. Adelaida Machenchewa

Tanganyika

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

8.       MKOA WA KIGOMA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Semindu Pawa

Kigoma Vijijini

 

2.        

Ndg. Jumanne Kitundu

Kigoma Mjini

 

3

Ndg. Salum Khamis Haji

Buhingwe

 

4

Ndg. Zainab Kasimba

Uvinza

 

5

Ndg. Emmanuel Mhene

Kakonko

 

6

Ndg.  Raphael J. Sumaye

Kibondo

 

7

Ndg. Abdallah Kazwika

Kasulu

 

 

 

 

 

 

9.       MKOA WA KILIMANJARO

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Ibrahim M. Ibrahim

Moshi Mjini

 

2.        

Ndg. Ramadhani Mahanyu

Moshi Vijijini

 

3.        

Ndg. Ally Musa Balo

Hai

 

4.        

Ndg. Mary sulley

Rombo

 

5.        

Ndg. Victoria Mahembe

Mwanga

 

6.        

Ndg. Hamisa Chacha

Same

 

7.        

Ndg. Ally Kidunda

Siha

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

10.   MKOA WA LINDI

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Asha Mwendwa

Lindi Mjini

 

2.        

Ndg. Jamal Khimji

Lindi Vijijini

 

3.        

Ndg. Mwanaisha Ame Ahmed

Nachingwea

 

4.        

Ndg. Abas Mkweta

Ruangwa

 

5.        

Ndg. Mayasa Kimbau

Kilwa

 

6.        

Ndg. Sophia Nkupe

Liwale

 

 

 

11.   MKOA WA MANYARA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Filbert Mdaki

Babati Vijijini

 

2.        

Ndg. Agness Chuwa

Hanang’

 

3.        

Ndg. Daniel Mhina

Babati Mjini

 

4.        

Ndg. Amos Shimba

Simanjiro

 

5.        

Ndg. Salum Mgaya

Mbulu

 

6.        

Ndg. Denis Zacharia

Kiteto

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

12.   MKOA WA MARA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Burhan Ruta

Musoma Mjini

 

2.        

Ndg. Norbaty Kibaji

Musoma vijijini

 

3.        

Ndg. Hamis Kura

Butiama

 

4.        

Ndg. Loth Olemeirut

Bunda

 

5.        

Ndg. Naboth Manyonyi

Rorya

 

6.        

Ndg. Mary Kananda

Serengeti

 

7.        

Ndg. Valentine D. Maganga

Tarime

 

 

 

13.   MKOA WA MBEYA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Denis Luhende

Mbeya Mjini

 

2.        

Ndg. Rehema Nzunye

Mbeya Vijijini

 

3.        

Ndg. Abdalla H. Mpokwa

Rungwe

 

4.        

Ndg. Gervas Ndaki

Kyela

 

5.        

Ndg. Charles J. Seleman

Chunya

 

6.        

Ndg. Clemence Mponzi

Mbarali

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

14.   MKOA WA MOROGORO

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Silvester Yaredi

Morogoro Mjini

 

2.        

Ndg.Emanuel Mbamange

Morogoro Vijijini

 

3.        

Ndg. Highness Munisi

Gairo

 

4.        

Ndg. Salum Omar Mkadamu

Ulanga

 

5.        

Ndg.  Shaban Mdoe

Kilosa

 

6.        

Ndg. Ebenezer Mainoya

Kilombero

 

7.        

Ndg. Florence Machicho

Mvomero

 

8.        

Ndg. Abdulrahman Hamid Hamad

Malinyi

 

 

15.   MKOA WA MTWARA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Didas Zimbihile

Masasi

 

2.        

Ndg. Clemence Emanuel Bakuli

Mtwara Vijijini

 

3.        

Ndg. Eliud Shemauya

Nanyumbu

 

4.        

Ndg. Sophia Lipenye

Newala

 

5.        

Ndg. Haji Machano Juma

Mtwara Mjini

 

6.        

Ndg. Mohamed Ali Abdalla

Tandahimba

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

16.   MKOA WA MWANZA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Geofrey Kavenga

Nyamagana

 

2.        

Ndg. George Silindu

Ukerewe

 

3.        

Ndg. Aziza Isimbula

Ilemela

 

4.        

Ndg. Muhsin Zikatimu

Sengerema

 

5.        

Ndg. Moza Ally

Magu

 

6.        

Ndg. Chollage Ally Chollage

Misungwi

 

7.        

Ndg. Latifa Malimi

Kwimba

 


 

17.   MKOA WA NJOMBE

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Sure Mwasanguti

Njombe

 

2.        

Ndg. Amos Kusakula

Ludewa

 

3.        

Ndg. Tukai Naitapwaki

Wanging’ombe

 

4.        

Ndg. Daniel Muhanza

Makete

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


18.   MKOA WA PWANI

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Rukia Mbasha

Kibaha Vijijini

 

2.        

Ndg. Ali Salum Suleiman

Kibaha Mjini

 

3.        

Ndg. Josephine Mwanga

Kisarawe

 

4.        

Ndg. Yusuph Ramadhan Abdallah

Bagamoyo

 

5.        

Ndg. Salehe Kikweo

Mkuranga

 

6.        

Ndg. Acheni Maulid

Rufiji

 

7.        

Ndg. Kulwa Milonge

Mafia

 

8.        

Ndg. Muhidin Zacharia

Kibiti

 

 

 

 

 

 

19.   MKOA WA RUKWA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Lucia Chamu

S’wanga Vijijini

 

2.        

Ndg. Tabu Hussein

Sumbawanga Mjini

 

3.        

Ndg. Robert Mwega

Nkasi

 

4.        

Ndg. Hassan Ntalika

Kalambo

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

20.   MKOA WA RUVUMA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Ramadhan Abbas Suleiman (Mcheju)

Namtumbo

 

2

Ndg. Juma Nambaila

Songea Vijijini

 

3

Ndg. Jacob Siay Aloyce

Mbinga

 

4

Ndg.  Paulo Aladin Mwalubuga

Nyasa

 

5

Ndg. Mohamed Mavala

Tunduru

 

6

Ndg. Amir Mkalipa

Songea Mjini

 

21.   MKOA WA SHINYANGA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Agness Bashem

Shinyanga Mjini

 

2.        

Ndg. Ernestina Richard

Shinyanga Vijijini

 

3.        

Ndg. Mary G. Mhoha

Kahama

 

4.        

Ndg. Peter Mashenji

Kishapu

 

 

22.   MKOA WA SIMIYU

 

NA

JINA KAMILI

KITUO ANACHOHAMIA

 

1.        

Ndg. Joel Makwaiya

Meatu

 

2.        

Ndg. Mathias Shidagisha

Maswa

 

3.        

Ndg. Steven Koyo

Busega

 

4.        

Ndg. Hassan Milanga

Itilima

 

5.        

Ndg. Renatus Masanja Sallu

Bariadi

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

23.   MKOA WA SINGIDA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Shaban K. Hamis

Singida Mjini

 

2.        

Ndg. Matha Zingula

Mkalama

 

3.        

Ndg. Salum Issa Haji

Manyoni

 

4.        

Ndg. Ephrahim Kolimba

Iramba

 

5.        

Ndg.Anthony Katani

singida Vijijini

 

6.        

Ndg. Stamil Dendego

Ikungi

 

 

 

 

 

 

 

24.   SONGWE

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Hamis Mbogela

Songwe

 

2

Ndg. Julius Mbwiga

Mbozi

 

3

Ndg. Hassan Lyamba

Ileje

 

4

Ndg. Steven Elisha Shija

Momba

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

25.   MKOA WA TABORA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.        

Ndg. Neema Lunga

Tabora Mjini

 

2.        

Ndg. Mwanamvua Killo

Igunga

 

3.        

Ndg. Bakari Mfaume

Uyui

 

4.        

Ndg. Adia Mamu

Nzega

 

5.        

Ndg. Magdalena Ndwete

Sikonge

 

6.        

Ndg. Salome Luhingulanya

Kaliua

 

7.        

Ndg. Petronila F. Kichele

Urambo

 

 

 

 

26.   MKOA WA TANGA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Miriam Kaaya

Lushoto

 

2

Ndg. Suraiya Kangusu

Kilindi

 

3

Ndg. Evarist Mluge

Korogwe Mjini

 

4

Ndg. Fatuma J. Shomari

Korogwe Vijijini

 

5

Ndg. Zawadi Nyombi

Pangani

 

6

Ndg. Lucy Beda Wilson

Mkinga

 

7

Ndg. Twalib Berege

Tanga

 

8

Ndg. Anastazia Amas

Handeni

 

9

Ndg. Simon M. Leng'ese

Muheza

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

27.   MKOA WA MJINI

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1.  

Ndg. Ibrahim Mpwapwa

Mjini

 

2.  

Ndg. Veronica Ndaro

Amani

 

 

 

 

28.   MKOA WA MAGHARIBI

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Mwasiti Hassan Mohamed

Mfenesini

 

2

Ndg. Getrude Sinyinza

Dimani

 

 

 

 

 

 

29.   MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Inne Ame Machano

Kaskazini ‘A’

 

2

Ndg. Shemsa Simon Himbula

Kaskazini ‘B’

 

 

 

30.   MKOA WA KUSINI PEMBA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Hassan Khatibu Hassan

Chakechake

 

2

Ndg. Nicolaus Chibwana

Mkoani

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

31.   MKOA WA KUSINI UNGUJA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Asha Mzee Omar

Kusini

 

2

Ndg. Omar Justas Morris

Kati

 

 

 

 

 

 

 

 

 

32.   MKOA WA KASKAZINI PEMBA

 

NA

JINA KAMILI

KITUO

 

1

Ndg. Ally Khamis Juma

Micheweni

 

2

Ndg. Bilali Hussein Maulid

Wete

 

 

 

 

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.