Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Nyumba za Makaazi Bweleo Wilaya ya Magharibi "B" Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo.(kushoto) Uongozi wa Mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo huko Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza.Bw. Yusuf Ezzi akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Mradi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya mradi huo Bweleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg. Sharif Ali Sharif akizungumza baada ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Nyumba za Makaazi zinazojengwa katika eneo la Bweleo Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (hawapo pichan) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo.Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kutimia mwaka mmoja wa Uongozi wake

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.