Habari za Punde

Walioshiriki mashindano ya uandishi kuelimisha jamii kuhusu maradhi yasioambukiza wakabidhiwa vyeti

Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na maradhi yasioambukiza  Zanzibar (Z-NCDA) Ali Zubeir Juma (katikati) akimkabidhi cheti cha ushindi Muandishi wa Star.TV  Nd. Abdalla Pandu aliyeshiriki  mashindano ya Afrika Mashariki yaliofanyika nchini Uganda yanayohusu utayarishaji wa vipindi vya kuelimisha jamii kutokana na maradhi yasioambukiza kulia ni Mwenyekiti wa ( Z-NCDA) Dk Said Gharib na Katibu wa ( Z-NCDA) Louis Henry ,hafla hiyo imefanyika   katika ukumbi wa Jumuiya ya (Z-NCDA) Mpendae
Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na maradhi yasioambukiza  Zanzibar (Z-NCDA) Ali Zubeir Juma (katikati) akimkabidhi cheti cha ushindi Afisa Habari wa Idara Habari Maelezo Nd. Khadija Khamis  aliyeshiriki  Mashindano ya Afrika Mashariki yaliofanyika nchini Uganda yanayohusu Uandishi wa habari za  kuelimisha jamii kutokana na maradhi yasioambukiza  kupitia magazeti na blog , kulia ni Mwenyekiti wa ( Z-NCDA) Dk Said Gharib na Katibu wa ( Z-NCDA) Louis Henry ,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Jumuiya ya (Z-NCDA) Mpendae.
Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na maradhi yasioambukiza  Zanzibar (Z-NCDA) Ali Zubeir Juma (katikati) akimkabidhi zawadi ya ngao  Muandishi wa Star.TV  Nd. Abdalla Pandu aliyeshiriki  mashindano ya Afrika Mashariki yaliofanyika nchini Uganda yanayohusu utayarishaji wa vipindi vya kuelimisha jamii kutokana na maradhi yasioambukiza , kulia ni Mwenyekiti wa ( Z-NCDA) Dk Said Gharib na Katibu wa ( Z-NCDA) Louis Henry ,hafla hiyo imefanyika   katika ukumbi wa Jumuiya ya (Z-NCDA) Mpendae.

 Picha ya pamoja kati ya  Viongozi wa Jumuiya ya Watu wanaoishi na Maradhi Yasioambukiza pamoja na Washindi wa Shindano la Afrika Mashariki lililofanyika Nchini Uganda kuhusiana na uandishi wa habari za kuelimisha jamii juu ya maradhi yasioambukiza na utayarishaji wa vipindi, katika Jumuiya ya ( Z-NCDA ), Mpendae .


PICHA KWA HISANI YA JUMUIYA YA Z-NCDA KUPITIA IDARA HABARI MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.